Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA
LATEST NEWS
Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti…
Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko…
DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue…
Stanbic joins CEOs Forum to drive Dira…
ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa…
  • Follow Us
Monyo Digital Monyo Digital
Monyo Digital Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA

Cart

Sign In

Mwandishi Wetu

Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?
  • October 12, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?

Katika uchumi unaotegemea usafirishaji, kilimo na viwanda, mabadiliko ya bei za mafuta yanaweza kuathiri gharama za maisha, uzalishaji na utoaji wa huduma. Hali hiyo inafanya usimamizi wa bei kuwa...
Continue Reading
Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko ya kodi
  • September 24, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko ya kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kutoa mafunzo kwa taasisi za umma kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi, yakilenga kuongeza uelewa na kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya kikodi. Mafunzo...
Continue Reading
DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue vifaa vya dharura
  • September 24, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue vifaa vya dharura

Wilaya ya Kilosa imeamua kuelekeza fedha za maafa katika ununuzi wa vifaa vya dharura na kuwaandaa wananchi wanaoishi maeneo hatarishi kukabiliana na mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa kuanza...
Continue Reading
ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa vijana
  • September 24, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • ELIMU, HABARI

ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa vijana

Programu ya Pili ya Kukuza Ujuzi na Stadi za Kazi (ESPJ II) inatarajiwa kutoa fursa kwa vijana kushiriki katika mafunzo ya ufundi na ufundi stadi na kupata ujuzi unaohitajika...
Continue Reading
Tanzania yashuhudia Mashindano ya Ujuzi Shanghai
  • September 23, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • ELIMU, HABARI

Tanzania yashuhudia Mashindano ya Ujuzi Shanghai

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Muhammed Mussa, ameongoza ujumbe wa Tanzania kushuhudia Mashindano ya 48 ya Ujuzi Kidunia (Worldskills Competition) yanayofanyika jijini Shanghai, China tarehe...
Continue Reading
Hakikisheni  mnatumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya ndani kulinda soko- Kapinga
  • September 23, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI, BIASHARA

Hakikisheni  mnatumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya ndani kulinda soko- Kapinga

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga amevitaka Viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa utoshelevu hapa nchini kuhakikisha vinalinda soko la ndani na kuwataka wazawa kuamini bidhaa zinazozalishwa na wazawa wenzao...
Continue Reading
Rukwa mbioni kuunganishwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa
  • September 23, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

Rukwa mbioni kuunganishwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa

Wananchi wa Mkoa wa Rukwa wanatarajiwa kuanza kunufaika na huduma ya umeme wa uhakika pale Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 400 wa Iringa–Kisada–Mbeya–Tunduma–Sumbawanga (TAZA)...
Continue Reading
Rick Ross ampongeza Rais Samia kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia
  • September 23, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • MICHEZO

Rick Ross ampongeza Rais Samia kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia

Msanii wa miondoko ya Hip Hop kutoka Marekani, Rick Ross, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia,...
Continue Reading
Bodi ya DAWASA yakagua miundombinu, yaweka mikakati kukabiliana na El Nino
  • September 22, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

Bodi ya DAWASA yakagua miundombinu, yaweka mikakati kukabiliana na El Nino

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetembelea na kukagua miundombinu mbalimbali ya maji, ikiwemo mabomba makuu ya usambazaji maji, kwa...
Continue Reading
NMB, NM-AIST waunganisha teknolojia na kilimo, vijana 20 kubuni suluhisho
  • September 22, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

NMB, NM-AIST waunganisha teknolojia na kilimo, vijana 20 kubuni suluhisho

ARUSHA: Benki ya NMB kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imewakutanisha vijana wabunifu 20 wenye utaalamu katika sayansi ya data, akili mnemba na...
Continue Reading

Posts pagination

1 2 … 35 Next

Recent Posts

  • Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?
  • Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko ya kodi
  • DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue vifaa vya dharura
  • Stanbic joins CEOs Forum to drive Dira 2050
  • ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa vijana

Recent Comments

  1. PUTI on ACT Wazalendo: Tume ya Rais haiwezi kutoa haki kwa waathirika
  2. PUTI on Airtel Money, Buni and DTBI Organise IoT Training to Equip Young People with Innovation Skills
  3. trading platform on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki
  4. Karier & Bisnis on One-year-old killed in hyena attack in Katavi
  5. fintechbase on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki

Archives

  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2024
  • May 2024
  • February 2024
  • September 2022
  • August 2022

Categories

  • AFYA
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • HABARI
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • TRENDING STORIES
  • VIDEO

Search

Get in Touch

  • 750 Followers
  • 950 Likes
  • 1400 Subscribers
  • 1250 Fans
  • 1050 Followers

Recent Posts

Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na… October 12, 2026
Taasisi za umma zapewa elimu ya… September 24, 2026
DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha… September 24, 2026
Stanbic joins CEOs Forum to drive… September 24, 2026
ESPJ II kufungua fursa za ujuzi… September 24, 2026

Hot Categories

ELIMU 22
VIDEO 29
Monyo Digital

We have lots of courses and programs from the main market experts.

Follow us

Category

  • ELIMU

Quick links

  • Browse Library
  • TV News
  • Music News
  • News & Blog
  • Video
  • Advertise

Newsletter

@ 2022 All Copyright Reserved. Monyo Digital Hub

  • Home
  • About
  • Blog
  • Contact