Rick Ross ampongeza Rais Samia kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia
Msanii wa miondoko ya Hip Hop kutoka Marekani, Rick Ross, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia,...


