Pamba Jiji, mdhamini wamalizana sasa kutambulisha jezi za msimu mpya
Pamba Jiji ya Mwanza imeongeza mkataba na kampuni ya Jambo, mdhamini wake mkuu na mtengenezaji wa vifaa vya klabu hiyo, ikiwemo jezi. Mkataba huo umesainiwa Agosti 14, 2026, katika...


