TRC, JKCI kufanya uchunguzi bure magonjwa ya moyo kwa abiria wa SGR
Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), litaendesha uchunguzi wa bure wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu pamoja na kutoa...


