Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA
LATEST NEWS
Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti…
Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko…
DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue…
Stanbic joins CEOs Forum to drive Dira…
ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa…
  • Follow Us
Monyo Digital Monyo Digital
Monyo Digital Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA

Cart

Sign In

BIASHARA

Monyo Digital > Blog > BIASHARA
  • October 12, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?

Katika uchumi unaotegemea usafirishaji, kilimo na viwanda, mabadiliko ya bei za mafuta yanaweza kuathiri gharama za maisha, uzalishaji na utoaji wa huduma. Hali hiyo inafanya usimamizi wa bei kuwa...
Continue Reading
  • September 24, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko ya kodi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kutoa mafunzo kwa taasisi za umma kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi, yakilenga kuongeza uelewa na kuimarisha utekelezaji wa majukumu ya kikodi. Mafunzo...
Continue Reading
  • September 23, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI, BIASHARA

Hakikisheni  mnatumia bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya ndani kulinda soko- Kapinga

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga amevitaka Viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa utoshelevu hapa nchini kuhakikisha vinalinda soko la ndani na kuwataka wazawa kuamini bidhaa zinazozalishwa na wazawa wenzao...
Continue Reading
  • September 22, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

NMB, NM-AIST waunganisha teknolojia na kilimo, vijana 20 kubuni suluhisho

ARUSHA: Benki ya NMB kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imewakutanisha vijana wabunifu 20 wenye utaalamu katika sayansi ya data, akili mnemba na...
Continue Reading
  • September 17, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI, BIASHARA

NMB yajipanga kufungua zaidi milango ya mitaji kuelekea Dira 2050

ARUSHA: Benki ya NMB imejipanga kupanua ufadhili kwa wafanyabiashara na wawekezaji ili kuongeza upatikanaji wa mitaji na kuharakisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayotegemea sekta binafsi...
Continue Reading
  • September 14, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI, BIASHARA

NMB yaingia 10 bora duniani, benki yenye mali ya dola bilioni 3-10

Benki ya NMB imeorodheshwa katika nafasi ya tisa duniani ndani ya Daraja la Sita la benki zenye mali ya kati ya Dola za Marekani bilioni 3 na bilioni 10....
Continue Reading
  • September 11, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA

NMB yaingia mbio za mbuzi, vijana zaidi ya 130 kunufaika

Benki ya NMB imejiunga kwa mara ya kwanza kuwa mdhamini wa Mbio za Mbuzi za mwaka 2026, zinazolenga kukusanya Sh milioni 200 kwa ajili ya kusaidia vijana 150 kujiunga...
Continue Reading
  • September 9, 2026
  • Admin
  • MUST READ, BIASHARA, HABARI

‎NMB yapanua malipo ya kidijitali Kariakoo Festival

‎Wafanyabiashara wa Kariakoo wanatarajiwa kupata fursa zaidi za mauzo na kupokea malipo kwa njia za kidijitali kupitia Kariakoo Festival 2026. ‎Benki ya NMB imetangaza udhamini wa Sh milioni 165...
Continue Reading
  • September 3, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

NMBF yafungua maombi ya ‘Nuru Yangu’

NMB Foundation (NMBF), ikishirikiana na Benki ya NMB, imetenga Sh bilioni 1 kwa uwezeshaji wa vijana 50 watakaojiunga na vyuo vikuu katika mwaka wa masomo 2026/27 kupitia Nuru Yangu...
Continue Reading
  • September 2, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Balozi Omar aitaka sekta binafsi kuongoza uchumi

Serikali imetoa wito kwa wadau wa sekta ya fedha, wawekezaji na sekta binafsi nchini kuunganisha nguvu katika kubadili akiba za Watanzania kuwa mitaji ya uwekezaji yenye tija, itakayochochea uzalishaji,...
Continue Reading

Posts pagination

1 2 … 9 Next

Recent Posts

  • Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?
  • Taasisi za umma zapewa elimu ya mabadiliko ya kodi
  • DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha zinunue vifaa vya dharura
  • Stanbic joins CEOs Forum to drive Dira 2050
  • ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa vijana

Recent Comments

  1. PUTI on ACT Wazalendo: Tume ya Rais haiwezi kutoa haki kwa waathirika
  2. PUTI on Airtel Money, Buni and DTBI Organise IoT Training to Equip Young People with Innovation Skills
  3. trading platform on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki
  4. Karier & Bisnis on One-year-old killed in hyena attack in Katavi
  5. fintechbase on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki

Archives

  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2024
  • May 2024
  • February 2024
  • September 2022
  • August 2022

Categories

  • AFYA
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • HABARI
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • TRENDING STORIES
  • VIDEO

Search

Get in Touch

  • 750 Followers
  • 950 Likes
  • 1400 Subscribers
  • 1250 Fans
  • 1050 Followers

Recent Posts

Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na… October 12, 2026
Taasisi za umma zapewa elimu ya… September 24, 2026
DC Shaka akataa mafunzo ataka fedha… September 24, 2026
Stanbic joins CEOs Forum to drive… September 24, 2026
ESPJ II kufungua fursa za ujuzi… September 24, 2026

Hot Categories

ELIMU 22
VIDEO 29
Monyo Digital

We have lots of courses and programs from the main market experts.

Follow us

Category

  • ELIMU

Quick links

  • Browse Library
  • TV News
  • Music News
  • News & Blog
  • Video
  • Advertise

Newsletter

@ 2022 All Copyright Reserved. Monyo Digital Hub

  • Home
  • About
  • Blog
  • Contact