ESPJ II kufungua fursa za ujuzi kwa vijana
Programu ya Pili ya Kukuza Ujuzi na Stadi za Kazi (ESPJ II) inatarajiwa kutoa fursa kwa vijana kushiriki katika mafunzo ya ufundi na ufundi stadi na kupata ujuzi unaohitajika...


