Wataalamu waonya hatari ya kemikali kwenye plastiki
Kemikali za sumu zinazojificha kwenye vifaa vya plastiki vinavyotumika kila siku kuanzia midoli ya watoto hadi vyombo vinavyogusana na chakula zinatajwa kuwa tishio kubwa kwa afya ya binadamu na...


