Profesa Kabudi ahimiza matumizi sahihi ya alama za taifa
Na Mwandishi wetu- DODOMA WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, amehimiza wananchi kuendelea kuzingatia matumizi sahihi ya alama...


