Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki
Watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha basi la Kampuni ya Kandahari na malori mawili katika eneo la Makuyuni, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha....


