Umeme jua Kishapu awamu ya pili kuiongezea Tanzania megawati 100 za nishati jadidifu
📌Waziri Ndejembi ashuhudia utiaji saini, asema ni alama ya miradi ya kielelezo nchini. 📌Mradi utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 100 📌Aeleza mradi kugharimu Shilingi bilioni 204.4 na kuchochea sekta...


