NMB yapanua malipo ya kidijitali Kariakoo Festival
Wafanyabiashara wa Kariakoo wanatarajiwa kupata fursa zaidi za mauzo na kupokea malipo kwa njia za kidijitali kupitia Kariakoo Festival 2026. Benki ya NMB imetangaza udhamini wa Sh milioni 165...


