Kamati ya Bunge yapongeza DAWASA mradi wa maji Kigamboni
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Maji Kigamboni, ikisema uzalishaji wa maji unaofanywa na mradi huo unatosheleza mahitaji ya sasa...


