Wito watolewa wazazi watakiwa kushirikiana na walimu katika malezi
Wazazi na walezi nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na walimu katika kuwajengea watoto misingi ya maadili, nidhamu na imani ili kuwaandaa kuwa kizazi chenye mchango chanya katika jamii na...


