SGR Tabora-Kigoma… ndoto inatimia
Leo, Serikali ya Tanzania inaandika historia kwa kuanza rasmi ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora–Kigoma, hatua muhimu inayokamilisha ndoto ya kuunganisha mikoa ya Magharibi na mtandao...


