Serikali yapanua ushirikiano na KPMG kukuza uchumi
Serikali imesema itaendelea kuimarisha ushirikiano na Kampuni ya Kimataifa ya Ukaguzi na Ushauri wa Kitaalamu ya KPMG, hususan katika masuala ya sera za kodi, usimamizi wa mapato na mageuzi...


