NMB yaunganisha wananchi na fursa Kizimkazi
ZANZIBAR. Benki ya NMB imehitimisha ushiriki wake katika Tamasha la Kizimkazi 2026 kwa kuunganisha wananchi na huduma za kifedha pamoja na fursa za kukuza biashara. NMB ilikuwa miongoni mwa...


