Tanzania yachaguliwa kuongoza kundi la Afrika Kamati ya urithi wa Dunia ya UNESCO
Katika Mkutano wa 48 wa Kamati ya Urithi wa Dunia wa UNESCO unaoendelea mjini Busan, Jamhuri ya Korea, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kundi la...


