Tume ya Jaji Lila yaanza kazi kuchunguza wahusika wa ghasia za uchaguzi
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio ya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza rasmi kazi...


