Hospitali ya SINO kupunguza safari za matibabu nje ya nchi
Watanzania wameanza kunufaika na huduma za matibabu ya kibingwa zinazopatikana nchini, hali inayopunguza gharama na ulazima wa kusafiri nje ya nchi kutafuta matibabu. Mkurugenzi Mtendaji wa Universal Medical Tourism,...


