ACT Wazalendo: Tume ya Rais haiwezi kutoa haki kwa waathirika
Chama cha ACT Wazalendo kimepinga uamuzi wa Serikali kuunda Tume ya Rais ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kikisema muundo na hadidu rejea...


