Sangu: Mtama yaanza kuvuna matunda ya maendeleo
Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi zake za maendeleo kwa wananchi wa Wilaya ya Mtama, Mkoa wa Lindi, ambapo zaidi ya shilingi bilioni 13 zimetolewa...


