DC aipongeza Green Acres kwa kuanzisha klabu ya uhamiaji
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule ameipongeza shule ya Green Acres ya jijini Dar es Salaam kwa kuwa ya kwanza kuanzisha klabu ya Uhamiaji. Alitoa pongezi hizo jana...


