Tamasha la Kizimkazi kuibua fursa za uchumi wa buluu
Kizimkazi ni miongoni mwa maeneo yenye uwezo mkubwa wa kukuza uchumi wa buluu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kutokana na rasilimali zake za bahari, fukwe na mazingira ya kipekee...


