Morogoro: Polisi wazima magari 15 ya shule kwa usalama
MOROGORO – Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limeanzisha operesheni maalumu ya kukamata na kukagua magari ya shule ambayo hayakuitikia wito wa kufanyiwa ukaguzi...


