Dkt Samia: Tutasaidiwa kuiharibu Tanzania, hatutasaidiwa kuijenga
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Chama cha Mawakili wa Serikali hakipaswi kuwa chanzo cha migogoro na migawanyiko ndani ya Taifa letu bali kuendeleza misingi ya amani, umoja...


