Walimu Sekondari Manispaa ya Kibaha wapewa mbinu kuondoa zero
Afisa Elimu Mkoa wa Pwani Jimmy Nkwamu amesema jukumu la walimu ni kuhakikisha wanasaidia wanafunzi wenye ufaulu wa chini wanainuka kitaaluma na kupata wastani mzuri kwenye matokeo mengine. Ameyasema...


