Waziri Sangu aagiza OSHA kuongeza mafunzo kwa wachimbaji Namungo
Wachimbaji wadogo wa Mgodi wa Namungo wameiomba Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuwapatia mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi mara kwa...


