Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA
LATEST NEWS
Airtel Staff, LAMATA Family Engage Customers Across…
Zanzibar launches space science innovation competition for…
Tanzania, Benki ya Dunia zaimarisha ushirikiano wa…
Marekani,Amref zaimarisha huduma za VVU Dar
Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti…
  • Follow Us
Monyo Digital Monyo Digital
Monyo Digital Monyo Digital
  • HABARI
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • AFYA
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • VIDEO
  • ZAIDI
    • LATEST POSTS
    • TRENDING STORIES
    • TEKNOLOJIA

Cart

Sign In

HABARI

Monyo Digital > Blog > HABARI
  • August 24, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

Tume ya Jaji Lila yaanza kazi kuchunguza wahusika wa ghasia za uchaguzi

Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio ya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza rasmi kazi...
Continue Reading
  • August 20, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

NMB yaingia amamu mpya ya ubora wa huduma kwa wateja

Benki ya NMB imekamilisha uhamishaji wa shughuli zake kwenda katika Mfumo Mkuu mpya wa Benki, hatua inayolenga kuongeza uwezo wa kushughulikia miamala, kuimarisha usalama wa taarifa na kuwezesha utoaji...
Continue Reading
  • August 20, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • BIASHARA, HABARI

Akaunti 14,000 zafunguliwa CRDB Tinde

SHINYANGA — Matumizi ya huduma rasmi za kifedha miongoni mwa wananchi wa Tinde, mkoani Shinyanga, yameongezeka katika miaka ya karibuni, hali inayodhihirisha kuimarika kwa shughuli za kiuchumi na matumizi...
Continue Reading
  • August 20, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • AFYA, HABARI

MUHAS: Ubunifu wazalisha suluhisho za afya na maisha ya kila siku

Tanga: Ubunifu wa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umeendelea kuvutia wananchi na wanafunzi wanaotembelea banda la chuo hicho katika Wiki ya Kitaifa ya...
Continue Reading
  • August 20, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI, BIASHARA

Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote kunufaika na mabadiliko ya Sheria za Kodi 2026/27

NKASI, Rukwa: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema marekebisho ya sheria za kodi yaliyoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2026/27 yanalenga kuongeza mapato ya Serikali yatakayosaidia kugharamia utekelezaji wa Bima ya...
Continue Reading
  • August 19, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

WaterAid, Farm Africa waungana kuimarisha maisha vijijini

Shirika la WaterAid Tanzania (WAT) na Farm Africa wameingia katika ushirikiano wa kimkakati unaolenga kukabiliana na uhusiano kati ya ukosefu wa huduma bora za maji na usafi, utapiamlo pamoja...
Continue Reading
  • August 19, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

Rais wa Mahakama ICC awekewa vikwazo Marekani

Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Tomoko Akane na wakili mwandamizi wa taasisi hiyo, Abdoulaye Seye, katika hatua mpya ya kuongeza shinikizo...
Continue Reading
  • August 19, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • HABARI

RC Chalamila atoa onyo kali kwa mabasi yanayoendelea kupaki Shekilango

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa onyo kali kwa wamiliki na madereva wa mabasi wanaokaidi agizo la Serikali la kuanzia safari katika Kituo cha Mabasi...
Continue Reading
  • August 19, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • AFYA, HABARI

Mwekezaji asaidia chakula shuleni, awavutia wananchi maji

Na Julieth Mkireri,Kibaha Wanafunzi zaidi ya 800 wa Shule ya msingi Zogowale Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wamepokea msaada wa unga kwa ajili ya chakula cha mchana pamoja na...
Continue Reading
  • August 18, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • AFYA, HABARI

Tanzania Yazindua Utafiti wa Kudhibiti Kuhara kwa Watoto

TANZANIA imezindua utafiti wa majaribio ya kliniki unaohusisha nchi mbalimbali, unaolenga kuchunguza iwapo matumizi ya probiotics yanaweza kuongeza ufanisi wa chanjo ya rotavirus, kupunguza maambukizi ya magonjwa ya kuhara...
Continue Reading

Posts pagination

Previous 1 … 7 8 9 … 26 Next

Recent Posts

  • Airtel Staff, LAMATA Family Engage Customers Across Dar
  • Zanzibar launches space science innovation competition for youth
  • Tanzania, Benki ya Dunia zaimarisha ushirikiano wa maendeleo
  • Marekani,Amref zaimarisha huduma za VVU Dar
  • Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na udhibiti wa EWURA?

Recent Comments

  1. PUTI on ACT Wazalendo: Tume ya Rais haiwezi kutoa haki kwa waathirika
  2. PUTI on Airtel Money, Buni and DTBI Organise IoT Training to Equip Young People with Innovation Skills
  3. trading platform on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki
  4. Karier & Bisnis on One-year-old killed in hyena attack in Katavi
  5. fintechbase on Ajali mbaya Makuyuni yatikisa barabara ya Arusha, sita wafariki

Archives

  • October 2026
  • September 2026
  • August 2026
  • July 2026
  • June 2024
  • May 2024
  • February 2024
  • September 2022
  • August 2022

Categories

  • AFYA
  • BIASHARA
  • ELIMU
  • HABARI
  • MICHEZO
  • MUST READ
  • TRENDING STORIES
  • VIDEO

Search

Get in Touch

  • 750 Followers
  • 950 Likes
  • 1400 Subscribers
  • 1250 Fans
  • 1050 Followers

Recent Posts

Airtel Staff, LAMATA Family Engage Customers… October 12, 2026
Zanzibar launches space science innovation competition… October 12, 2026
Tanzania, Benki ya Dunia zaimarisha ushirikiano… October 12, 2026
Marekani,Amref zaimarisha huduma za VVU Dar October 12, 2026
Bei za mafuta: Mwananchi ananufaikaje na… October 12, 2026

Hot Categories

ELIMU 22
VIDEO 29
Monyo Digital

We have lots of courses and programs from the main market experts.

Follow us

Category

  • ELIMU

Quick links

  • Browse Library
  • TV News
  • Music News
  • News & Blog
  • Video
  • Advertise

Newsletter

@ 2022 All Copyright Reserved. Monyo Digital Hub

  • Home
  • About
  • Blog
  • Contact