WRRB yaimarisha mfumo wa stakabadhi za ghala
Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) imesema itaendelea kushirikiana na Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri nchini kuimarisha utekelezaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS), kuongeza tija...


