• September 20, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

Klabu ya Al Ahli Saudi imefungwa jumla ya mabao 5 katika historia yake ya kushiriki fainali za Kombe la Afrika–Asia–Pasifiki β€” na cha kushangaza, mabao yote yamefungwa na wachezaji wawili tu!

πŸ‡¨πŸ‡© Fiston Mayele β€” mabao 3

Mayele aliifungia Pyramids FC mabao yote matatu katika fainali ya mwaka 2025, Pyramids ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Al Ahli.

πŸ‡΅πŸ‡Ή Nuno Santos β€” mabao 2

Katika fainali ya mwaka huu, Nuno Santos alifunga mabao mawili yaliyoiwezesha Mamelodi Sundowns kuifunga Al Ahli 2-1.

πŸ“Š Kwa jumla:
Al Ahli β€” mabao 5 ya kufungwa
Mayele β€” 3️⃣
Nuno Santos β€” 2️⃣

πŸ”₯ Hivyo, katika fainali mbili zilizopita za mashindano hayo, Al Ahli imefungwa mara tano na Mayele na Nuno Santos pekee ndio walioandika majina yao kwenye orodha ya wafungaji.

#MonyoDigital #AlAhli #FistonMayele #NunoSantos #MamelodiSundowns #PyramidsFC #CAF

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *