• July 19, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili kiungo Kelvin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili.

Nashon anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akitokea Pamba Jiji ya jijini Mwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *