Zoezi la uvutaji nyaya awamu ya pili mradi wa Chalinze–Dodoma kuanza kesho
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewakumbusha wananchi kuwa, kuanzia Agosti 11 hadi 17, 2026, mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovolti 400 Chalinze–Dodoma ataendelea na zoezi...


