Vi Agroforestry yaandaa kongamano kubwa la kilimo misitu
…….Linatarajia kuwakutanisha watu 8,000 mkoani Mara Shirika la Vi Agroforestry linatarajia kufanya kongamano kubwa la kilimo misitu kwa vijana linalotarajia kufanyika Mkoani Mara mwezi Oktoba mwaka huu likitarajiwa kushirikisha...


