TRA yawanoa waajiriwa wapya kuzingatia weledi katika utendaji kazi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka waajiriwa wake wapya kuzingatia weledi, nidhamu na maadili ya utumishi wa umma ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa walipakodi. Wito huo...


