Mkandarasi Kidunda aonywa kuhusu mvua za El Nino
Mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa Bwawa la Kidunda, Kampuni ya Sino Hydro Corporation, ameagizwa kujiandaa mapema kukabiliana na uwezekano wa mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa kunyesha mwishoni mwa mwaka...


