NMB yawekeza bilioni 224/- mkopo Mgodi wa Geita
Benki ya NMB imewekeza takribani dola za Marekani milioni 100, sawa na Shilingi bilioni 224, katika mkopo wa pamoja wenye thamani ya dola milioni 500 kwa ajili ya Mgodi...


