Haule amvaa Katibu wa CCM Kilosa, adai kutishiwa maisha
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Janus Mfaume, anatuhumiwa na mwanachama wa chama hicho, Egon Haule, kumdhalilisha na kumtishia maisha baada ya kumzuia kufika...


