Mmarekani wa miaka 90 aweka historia Mlima Kilimajaro
Raia wa Marekani, Dk. Art Ulene, ameweka rekodi mpya kwa kufanikiwa kufika Kilele cha Uhuru cha Mlima Kilimanjaro akiwa na umri wa miaka 90, na kuwa mtu mwenye umri...


