📌TANESCO yasema baadhi ya Mikoa ya Kanda ya Kati, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kusini Magharibi na Kanda ya ziwa kupata umeme kwa ratiba maalumu
📌Lengo ni kumpisha Mkandarasi kuendelea na utekelezaji wa Mradi huo wa kusafirisha umeme Msongo wa Kilovolti 400 ambao uko mbioni kukamilika.



























