Na Joseph Mahumi na Peter Haule, WF, Tanga Waziri wa Fedha,Balozi Khamis Mussa Omar, ametoa wito kwa wananchi wenye mahitaji maalumu kuchangamkia fursa za kuomba zabuni za Serikali kupitia...
📌 Wananchi kununua majiko banifu kwa shilingi 7,500 tu 📌 Serikali yabeba asilimia 85 ya gharama 📌Milioni 461 kusambaza majiko hayo kwa Wananchi 9,326 Misungwi, Mwanza📍 Serikali kupitia Wakala...
Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha wananchi wanaondokana na matumizi ya majiko ya mkaa, wadau wa nishati safi wamezindua kitabu maalum cha mwongozo wa matumizi salama ya...
Ofisi ya Msajili wa Hazina imesema Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ni miongoni mwa Taasisi muhimu kwa maendeleo ya Tanzania kutokana na jukumu lake la...
Benki ya NMB imetwaa tuzo ya Best Bancassurance Innovation and Partner of the Year – Tanzania 2026 kutoka World Economic Magazine. Tuzo hiyo, iliyotangazwa na taasisi hiyo yenye makao...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Mahmoud Thabit Kombo leo Julai 14, 2026 amekabidhiwa rasmi kombe kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje...
……Ni Dk Kellen Rose Rwakatare akimlalamikia mkandarasi wa barabara ya Ifakara-Mbingu Mbunge wa Mlimba (CCM), Dk Kellen-Rose Rwakatare jana alilazimika kumwaga machozi mbele ya Waziri wa Ujenzi, Abdalah Ulega,...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amesema Serikali itafuatilia kwa karibu changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Pangani-Tanga ili kuhakikisha unakamilika kwa wakati na...
Kocha wa Hispania, Luis de la Fuente, aliwapongeza wachezaji wake kama “timu bora duniani” baada ya ushindi wa kushangaza wa mabao 2-0 dhidi ya Ufaransa katika mechi ya nusu...