NMB yatoa Sh47.6 milioni kupunguza uhaba wa vifaa shuleni Kondoa, Chemba
Juhudi za kupunguza uhaba wa madawati na vifaa vya kujifunzia katika Wilaya za Kondoa na Chemba, mkoani Dodoma, zimepata msukumo baada ya Benki ya NMB kukabidhi vifaa vyenye thamani...


