Mradi wa bilioni 27/- Imalilo wafikia asilimia 82
📌 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) aipongeza TANESCO kwa kutekeleza Mradi kwa kutumia wataalamu wa ndani 📌 MD Twange asema...


