Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Africa50
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), litakalofanyika...


