Tanzania, Misri kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji
Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi, amesema Tanzania na Misri zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, biashara na uwekezaji kwa lengo la kuleta manufaa kwa wananchi wa mataifa hayo...


