Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma
Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma. Katika maadhimisho hayo, Rais Samia...


