• July 25, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

‎Serikali imeendelea kuimarisha uwekezaji katika sekta ya elimu na uwezeshaji wa kiuchumi kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi.‎‎

Hatua hiyo imebainishwa wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka, aliyozindua miradi ya maendeleo na kukabidhi mikopo kwa vikundi maalumu ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli za uzalishaji mali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *