• July 25, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma.‎‎

Katika maadhimisho hayo, Rais Samia aliweka Silaha za Jadi na shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania na kulinda taifa.‎‎

Shughuli hiyo pia ilihusisha gwaride maalumu la maombolezo lililoandaliwa kwa heshima ya mashujaa wa taifa.‎

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *