• August 8, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi – Mifugo, Dk. Fabian Madele, amesema ulaji mdogo wa vyakula vyenye protini ni miongoni mwa sababu zinazochangia tatizo la udumavu, hususan kwa watoto, na kuwataka wananchi kuongeza matumizi ya bidhaa zitokanazo na mifugo na uvuvi.

Dk. Madele ameyasema hayo Agosti 7, 2026 katika Viwanja vya Ngongo mkoani Lindi, wakati wa Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kusini, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika shughuli za kuhamasisha ulaji wa bidhaa za mifugo na uvuvi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *