COPRA yawaonya wakulima, wanunuzi kuachana na mikataba ya mdomo
Wakulima nchini wanatarajiwa kunufaika na soko la uhakika, upatikanaji wa mikopo, pembejeo na bei yenye tija kupitia mfumo wa kilimo cha mkataba unaosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka...


