Kaulimbiu ya PSSSF ya ‘Tunalipa Jana’ inafanyika kwa vitendo- Waziri Sangu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amesema kaulimbiu ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ya “Tunalipa...


